Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia madhumuni ya sheria
Wagalatia 3 : 24
24 Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani.
Yakobo 2 : 10
10 Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote.
Leave a Reply