Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Ammihud
1 Mambo ya Nyakati 7 : 26
26 na mwanawe huyo ni Ladani, na mwanawe huyo ni Amihudi, na mwanawe huyo ni Elishama;
Hesabu 1 : 10
10 Katika wana wa Yusufu; wa Efraimu, Elishama mwana wa Amihudi; na wa Manase; Gamalieli mwana wa Pedasuri.
Hesabu 2 : 18
18 ⑥ Upande wa magharibi kutakuwa na bendera ya kambi ya Efraimu kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Efraimu atakuwa Elishama mwana wa Amihudi.
Hesabu 34 : 20
20 Na katika kabila la wana wa Simeoni, Shemueli mwana wa Amihudi.
Hesabu 34 : 28
28 Na katika kabila la wana wa Naftali, mkuu, Pedaheli mwana wa Amihudi.
2 Samweli 13 : 37
37 Lakini Absalomu akakimbia, akamwendea Talmai, mwana wa Amihudi, mfalme wa Geshuri. Naye Daudi akamlilia mwanawe kila siku.
1 Mambo ya Nyakati 9 : 4
4 Uthai, mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imli, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda.
Leave a Reply