Biblia inasema nini kuhusu Amasai – Mistari yote ya Biblia kuhusu Amasai

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Amasai

1 Mambo ya Nyakati 6 : 25
25 Na wana wa Elkana; Amasai, na Ahimothi.

1 Mambo ya Nyakati 6 : 35
35 mwana wa Sufu, mwana wa Elkana, mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai;

1 Mambo ya Nyakati 12 : 18
18 Ndipo roho ikamjia Abishai, mkuu wa wale thelathini, naye akasema, Sisi tu watu wako, Ee Daudi; Na wa upande wako, Ee mwana wa Yese; Amani, naam, amani iwe kwako, Na amani iwe kwao wakusaidiao; Maana Mungu wako ndiye akusaidiye. Ndipo Daudi akawakaribisha, akawaweka wawe makamanda wa kile kikosi.

1 Mambo ya Nyakati 15 : 24
24 ⑰ Na Shebania, na Yoshafati, na Nethaneli, na Amasai, na Zekaria, na Benaya, na Eliezeri, makuhani, wakapiga baragumu mbele ya sanduku la Mungu; na Obed-edomu na Yehia walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.

2 Mambo ya Nyakati 29 : 12
12 Ndipo wakaondoka Walawi, Mahathi mwana wa Amasai, na Yoeli mwana wa Azaria, wa wana wa Wakohathi; na wa wana wa Merari, Kishi mwana wa Abdi, na Azaria mwana wa Yehaleleli; na wa Wagershoni, Yoa mwana wa Zima na Edeni mwana wa Yoa;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *