Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kedemoth
Yoshua 13 : 18
18 na Yahasa, na Kedemothi, na Mefaathi;
1 Mambo ya Nyakati 6 : 79
79 na Kedemothi pamoja na viunga vyake, na Mefaathi pamoja na viunga vyake;
Kumbukumbu la Torati 2 : 26
26 Nikatuma wajumbe kutoka bara ya Kedemothi kwenda kwa Sihoni mfalme wa Heshboni na maneno ya amani, kusema.
Leave a Reply