Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kasia
Isaya 33 : 21
21 ⑲ Bali huko BWANA atakuwa pamoja nasi, mwenye adhama; mahali penye mito mipana na vijito, pasipopita mashua na makasia yake; wala hapana merikebu ya vita itakayopita hapo.
Ezekieli 27 : 6
6 kwa mialoni ya Bashani wamefanya makasia yako; na sitaha zako wamezifanya kwa pembe iliyotiwa kazi ya njumu katika mti wa mihugu itokayo Kitimu.
Ezekieli 27 : 29
29 ⑫ Na wote wavutao kasia, wanamaji, na rubani zote wa baharini, watashuka katika merikebu zao, na kusimama katika nchi kavu;
Leave a Reply