Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Kabzeel
Yoshua 15 : 21
21 Miji ya mwisho ya kabila la wana wa Yuda upande wa kuelekea mpaka wa Edomu katika nchi ya Negebu ilikuwa ni Kabseeli, Ederi, Yaguri;
2 Samweli 23 : 20
20 Tena Benaya, mwana wa Yehoyada, mtu hodari wa Kabseeli aliyekuwa amefanya mambo makuu; aliwaua simba wawili wakali wa Moabu,[19] pia aliingia katika shimo na kumwua simba wakati wa theluji;
1 Mambo ya Nyakati 11 : 22
22 ⑮ Tena, Benaya, mwana wa Yehoyada, mtu hodari, wa Kabseeli, aliyekuwa amefanya mambo makuu, ndiye aliyewaua simba wakali wawili wa Moabu;[9] pia akashuka, akamwua simba katikati ya shimo wakati wa theluji.
Leave a Reply