Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Joktheel
Yoshua 15 : 38
38 ① Dilani, Mispe, Yoktheeli;
2 Wafalme 14 : 7
7 ⑪ Akawaua Waedomi katika Bonde la Chumvi watu elfu kumi; akautwaa Sela vitani, akauita jina lake Yoktheeli hata leo.
2 Mambo ya Nyakati 25 : 12
12 Na elfu kumi wengine, ambao wana wa Yuda waliwachukua wakiwa hai, wakawaleta juu ya jabali, wakawaangusha chini toka juu ya jabali, hadi wakavunjikavunjika wote.
Waamuzi 1 : 36
36 ② Mpaka wa Waamori ulikuwa tangu huko kupandia Akrabimu, tangu hilo jabali, na juu yake.
Leave a Reply