Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Joanna
Luka 8 : 3
3 na Yoana mkewe Kuza, wakili wake Herode, na Susana, na wengine wengi, waliokuwa wakimhudumia kwa mali zao.
Luka 24 : 10
10 ⑰ Nao ni Mariamu Magdalene, na Yoana, na Mariamu mamaye Yakobo, na wale wanawake wengine waliokuwa pamoja nao;
Luka 3 : 27
27 ⑪ wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
Leave a Reply