Biblia inasema nini kuhusu Jembe – Mistari yote ya Biblia kuhusu Jembe

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Jembe

Kutoka 27 : 3
3 ⑮ Na vyombo vyake vya kuyaondoa majivu yake utavifanya, na majembe yake, na mabakuli yake, na uma zake, na meko yake; vyombo vyake vyote utavifanya vya shaba.

Kutoka 38 : 3
3 Kisha akafanya vyombo vyote vya madhabahu, yaani sufuria zake, na majembe yake, na mabakuli yake, na uma zake, na meko yake; vyombo vyake vyote akavifanya vya shaba.

Hesabu 4 : 14
14 nao wataweka vyombo vyake vyote juu yake ambavyo wavitumia katika madhabahu, vyetezo, na nyuma, na miiko, na mabakuli, vyombo vyote vya hiyo madhabahu; nao watatandika juu yake ngozi za pomboo,[10] na kutia miti yake mahali pake.

1 Wafalme 7 : 40
40 Tena Huramu akazifanya birika, na majembe, na mabakuli. Hivyo Huramu akazimaliza kazi zote alizomfanyia mfalme Sulemani katika nyumba ya BWANA;

Yeremia 52 : 18
18 ⑪ Nayo masufuria, na majembe, na makasi, na mabakuli, na miiko, na vyombo vyote vya shaba walivyokuwa wakivitumia, wakavichukua vyote.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *