Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hushai
2 Samweli 15 : 37
37 Basi Hushai, rafiki wa Daudi, akaingia ndani ya mji; naye Absalomu akafika akaingia Yerusalemu.
2 Samweli 16 : 19
19 Na tena, Ni nani ambaye yanipasa nimtumikie? Hainipasi kumtumikia mwanawe? Kama nilivyomtumikia baba yako, ndivyo nitakavyokuwa mbele yako.
1 Mambo ya Nyakati 27 : 33
33 na Ahithofeli alikuwa mshauri wake mfalme; na Hushai, Mwarki, alikuwa rafiki yake mfalme;
Leave a Reply