Biblia inasema nini kuhusu Heshima – Mistari yote ya Biblia kuhusu Heshima

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Heshima

Yoshua 16 : 10
10 ⑲ Nao hawakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa Gezeri; lakini hao Wakanaani waliketi kati ya Efraimu, hata hivi leo, wakawa watumishi wa kufanya kazi za shokoa.

Waamuzi 1 : 33
33 Naftali naye hakuwatoa wenyeji wa Beth-shemeshi, wala hao waliokaa Bethanathi; lakini alikaa kati ya Wakanaani, hao wenyeji wa nchi; pamoja na haya, hao wenyeji wa Beth-shemeshi, na wenyeji wa Bethi-anathi, wakawatumikia kazi ya shokoa.

2 Wafalme 15 : 19
19 Akaja Pulu mfalme wa Ashuru juu ya nchi; naye Menahemu akampa Pulu talanta elfu moja za fedha, ili kwamba mkono wake uwe pamoja naye, na ufalme uwe imara mkononi mwake.

2 Wafalme 23 : 35
35 Na Yehoyakimu akampa Farao dhahabu na fedha; lakini akaitoza nchi kodi, ili apate kutoa zile fedha kwa amri yake Farao; akawatoza fedha na dhahabu watu wa nchi, kila mtu kwa kodi yake, ili ampe Farao Neko.

Mathayo 17 : 27
27 Lakini tusije tukawakwaza, nenda baharini ukatupe ndoana, ukatwae samaki yule azukaye kwanza; na ukifumbua mdomo wake utaona shekeli;[4] ichukue hiyo ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.

Mathayo 22 : 22
22 Waliposikia, walistaajabu, wakamwacha, wakaenda zao.

Luka 2 : 5
5 ⑱ ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.

2 Mambo ya Nyakati 9 : 14
14 ⑧ mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na watawala wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *