Msingi

Msingi Ni nini hufanya msingi wa kutegemewa kwa maisha? Imeandikwa, Luka 6:49 … “Lakini yeye asikiaye maneno yangu na asiyafanye, anafanana na mtu aliyejenga nyumba juu ya udongo bila msingi; mara tu mto ulipoipiga nyumba hiyo, ikaanguka na kuharibika kabisa.” Yesu Kristo anapaswa kuwa msingi wetu. Imeandikwa, 1Wakorintho 3:11 … “Kwa maana hakuna mtu awezaye kuweka msingi mwingine isipokuwa ule uliokwisha kuwekwa, ambao ni Yesu Kristo.”

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *