Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia agano la neema
Waraka kwa Waebrania 9 : 15
15 Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.
Leave a Reply