Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Hazezon-Tamari
Mwanzo 14 : 7
7 ⑱ Kisha wakarudi wakaja mpaka Enmisfati, ndio Kadeshi, wakapiga nchi yote ya Waamaleki, na Waamori waliokaa Hasason-tamari.
2 Mambo ya Nyakati 20 : 2
2 Wakaja watu waliomwambia Yehoshafati, wakisema, Wanakuja jamii kubwa juu yako watokao Shamu toka ng’ambo ya bahari; na tazama, wako katika Hasason-tamari (ndio Engedi).
Leave a Reply