Biblia inasema nini kuhusu Gadi – Mistari yote ya Biblia kuhusu Gadi

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Gadi

Mwanzo 30 : 11
11 Lea akasema, Bahati njema! Akamwita jina lake Gadi.

Mwanzo 35 : 26
26 Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.

Kutoka 1 : 4
4 na Dani, na Naftali, na Gadi, na Asheri.

Mwanzo 46 : 16
16 Na wana wa Gadi; Sefoni, na Hagi, na Shuni, na Esboni, na Eri, na Arodi, na Areli.

Hesabu 26 : 18
18 Hawa ndio jamaa wa wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, elfu arubaini na mia tano.

1 Mambo ya Nyakati 5 : 11
11 ④ Na wana wa Gadi walipakana na wana wa Reubeni, katika nchi ya Bashani mpaka Saleka;

Mwanzo 49 : 19
19 Gadi, jeshi litamsonga, Lakini atawasonga wao mpaka visigino.

Kumbukumbu la Torati 33 : 20
20 Na Gadi akamnena, Na abarikiwe amwongezaye Gadi; Yeye hukaa kama simba mke, Hurarua mkono, naam, na utosi wa kichwa.

Hesabu 1 : 14
14 Wa Gadi; Eliasafu mwana wa Deueli.

Hesabu 1 : 25
25 wale waliohesabiwa katika kabila la Gadi, walikuwa watu elfu arubaini na tano, mia sita na hamsini (45,650).

Hesabu 26 : 18
18 Hawa ndio jamaa wa wana wa Gadi kama waliohesabiwa kwao, elfu arubaini na mia tano.

1 Mambo ya Nyakati 5 : 17
17 ⑥ Hao wote walihesabiwa kwa nasaba, katika siku za Yothamu, mfalme wa Yuda, na siku za Yeroboamu, mfalme wa Israeli.

Hesabu 2 : 10
10 ③ Upande wa kusini kutakuwa na bendera ya kambi ya Reubeni kwa majeshi yao; na mkuu wa wana wa Reubeni atakuwa Elisuri mwana wa Shedeuri.

Hesabu 2 : 14
14 na kabila la Gadi; na mkuu wa wana wa Gadi atakuwa Eliasafu mwana wa Deueli;

Hesabu 2 : 16
16 ④ Wote waliohesabiwa katika kambi za Reubeni walikuwa elfu mia moja hamsini na moja na mia nne na hamsini, kwa majeshi yao. Nao ndio watakaofuata wakiwa kundi la pili.

Yoshua 22 : 8
8 ⑮ kisha akanena nao, na kuwaambia, Rudini na mali mengi mahemani kwenu, na ng’ombe wengi sana, na fedha, na dhahabu, na shaba, na chuma, na mavazi mengi sana; mgawane na ndugu zenu hizo nyara za adui zenu.

Hesabu 32 : 1
1 ③ Basi wana wa Reubeni, na hao wana wa Gadi, walikuwa na wanyama wa mifugo wengi sana; nao walipoona nchi ya Yazeri, na nchi ya Gileadi, ya kuwa mahali hapo palikuwa ni mahali pa kuwafaa wanyama;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *