Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Adin
Ezra 2 : 15
15 Wazawa wa Adini, mia nne hamsini na wanne.
Ezra 8 : 6
6 Na wa wana wa Adini, Ebedi, mwana wa Yonathani; na pamoja naye wanaume hamsini.
Nehemia 7 : 20
20 Wana wa Adini, mia sita hamsini na watano.
Leave a Reply