Biblia inasema nini kuhusu Epafrodito – Mistari yote ya Biblia kuhusu Epafrodito

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Epafrodito

Wafilipi 2 : 25
25 ⑩ Lakini niliona imenilazimu kumtuma kwenu Epafrodito, ndugu yangu, mfanyakazi pamoja nami, askari pamoja nami; tena ni mtume wenu na mhudumu wa mahitaji yangu.

Wafilipi 4 : 18
18 Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi, tena nimejaa tele; nimepokea kwa mkono wa Epafrodito vitu vile vilivyotoka kwenu, harufu ya manukato, sadaka yenye kibali, impendezayo Mungu.

Wafilipi 2 : 27
27 Kwa maana alikuwa mgonjwa sana, karibu kufa; lakini Mungu alimhurumia; wala si yeye peke yake, ila na mimi pia; nisiwe na huzuni juu ya huzuni.

Wafilipi 2 : 30
30 Maana kwa ajili ya kazi ya Kristo alikaribia kufa akahatarisha roho yake ili kusudi aitimize huduma ambayo msingeweza kunitimizia.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *