Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Enoshi
Mwanzo 4 : 26
26 Sethi naye akazaa mwana; akamwita jina lake Enoshi. Hapo ndipo watu walipoanza kuliitia Jina la BWANA.
Mwanzo 5 : 11
11 Siku zote za Enoshi ni miaka mia tisa na mitano, akafa.
Luka 3 : 38
38 ⑰ wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
1 Mambo ya Nyakati 1 : 1
1 Adamu, na Sethi, na Enoshi;
Leave a Reply