Biblia inasema nini kuhusu Eliamu – Mistari yote ya Biblia kuhusu Eliamu

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Eliamu

2 Samweli 11 : 3
3 Naye Daudi akatuma mtu akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, Je! Huyu siye Bathsheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti?

1 Mambo ya Nyakati 3 : 5
5 Na hawa alizaliwa huko Yerusalemu; Shamua, na Shobabu, na Nathani, na Sulemani, wanne, wana wa Bathsheba, binti Eliamu;

2 Samweli 23 : 34
34 na Elifeleti, mwana wa Ahasbai, na Heferi, Mmaakathi, na Eliamu, mwana wa Ahithofeli, Mgiloni;

1 Mambo ya Nyakati 11 : 36
36 Mmaakathi, Ahia Mpeloni;

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *