Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Eder
Mwanzo 35 : 21
21 Kisha akasafiri Israeli akapiga hema yake upande wa pili wa mnara wa Ederi.
Yoshua 15 : 21
21 Miji ya mwisho ya kabila la wana wa Yuda upande wa kuelekea mpaka wa Edomu katika nchi ya Negebu ilikuwa ni Kabseeli, Ederi, Yaguri;
1 Mambo ya Nyakati 23 : 23
23 Wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi, watu watatu.
1 Mambo ya Nyakati 24 : 30
30 ④ Na wana wa Mushi; Mali, na Ederi, na Yeremothi. Hao ndio wana wa Walawi, kwa kufuata koo za baba zao.
Leave a Reply