Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Dothani
Mwanzo 37 : 17
17 ④ Yule mtu akasema, Wametoka hapa, maana niliwasikia wakisema, Twendeni Dothani. Basi Yusufu akawafuata ndugu zake akawakuta huko Dothani.
2 Wafalme 6 : 19
19 Elisha akawaambia, Njia hii siyo, na mji huu sio, nifuateni mimi, nami nitawapeleka kwa mtu yule mnayemtafuta. Akawapeleka Samaria.
Leave a Reply