Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zifioni
Mwanzo 46 : 16
16 Na wana wa Gadi; Sefoni, na Hagi, na Shuni, na Esboni, na Eri, na Arodi, na Areli.
Hesabu 26 : 15
15 Na wana wa Gadi kwa jamaa zao; wa Sifoni, jamaa ya Wasifoni; wa Hagi, jamaa ya Wahagi; wa Shuni, jamaa ya Washuni;
Leave a Reply