Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zaccur
1 Mambo ya Nyakati 24 : 27
27 Wana wa Merari; wa Yaazia; Beno, na Shohamu, na Zakuri, na Ibri.
1 Mambo ya Nyakati 25 : 2
2 wa wana wa Asafu; Zakuri, na Yusufu, na Nethania, na Asharela, wana wa Asafu; walioamriwa na Asafu, aliyetabiri kwa amri ya mfalme.
1 Mambo ya Nyakati 25 : 10
10 ya tatu Zakuri, wanawe na nduguze, kumi na wawili;
Nehemia 12 : 35
35 ⑲ na baadhi ya makuhani wenye baragumu; Zekaria, mwana wa Yonathani, mwana wa Shemaya, mwana wa Matania, mwana wa Mikaya, mwana wa Zakuri, mwana wa Asafu;
Nehemia 3 : 2
2 Sehemu iliyofuata ilijengwa na watu wa Yeriko. Na baada yao Zakuri mwana wa Imri akajenga.
Leave a Reply