Biblia inasema nini kuhusu Zaburi – Mistari yote ya Biblia kuhusu Zaburi

Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zaburi

Kutoka 15 : 19
19 Kwa maana farasi wa Farao na magari yake na wapanda farasi wake waliingia ndani ya bahari, BWANA akayarudisha maji ya bahari juu yao; bali wana wa Israeli walikwenda katika nchi kavu katikati ya bahari.

Kumbukumbu la Torati 32 : 43
43 ⑦ Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake; Kwa maana atatwaa kisasi kwa damu ya watumwa wake, Atawatoza kisasi adui zake, Tena atafanya kafara kwa nchi yake, na watu wake.

1 Samweli 2 : 10
10 ① Washindanao na BWANA watapondwa kabisa; Toka mbinguni yeye atawapigia radi; BWANA ataihukumu dunia yote; Naye atampa mfalme wake nguvu, Na kuitukuza pembe ya masihi[2] wake.

1 Mambo ya Nyakati 16 : 36
36 Na ahimidiwe BWANA, Mungu wa Israeli, tangu milele hata milele. Na watu wote wakasema, Amina; wakamhimidi BWANA.

2 Samweli 23 : 7
7 Mtu atakayeigusa hiyo, Na awe na chuma na mpini wa mkuki, Nao watateketezwa papo hapo kwa moto.

1 Mambo ya Nyakati 29 : 19
19 naye Sulemani mwanangu, umjalie ili kwa moyo wote, azishike amri zako, na shuhuda zako, na maagizo yako, akayatende hayo yote na kuijenga nyumba hii ya enzi, niliyoiwekea akiba.

Isaya 12 : 6
6 Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.

Isaya 38 : 20
20 BWANA yu tayari kunipa wokovu. Basi, kwa vinubi tutaziimba nyimbo zangu, Siku zote za maisha yetu nyumbani mwa BWANA.

Luka 1 : 55
55 ③ Kama alivyowaambia baba zetu, Abrahamu na uzao wake hata milele.

Luka 1 : 45
45 Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *