Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia Zaanaim
Yoshua 19 : 33
33 Na mpaka wao ulikuwa kutoka Helefu, tokea ule mwaloni ulio katika Saananimu, na Adami-nekebu, na Yabneeli, hadi kufikia Lakumu; na matokeo yake yalikuwa katika mto wa Yordani;
Waamuzi 4 : 11
11 Basi Heberi, Mkeni,[7] alikuwa amejitenga na Wakeni, yaani na wana wa Hobabu, shemeji yake Musa, akaipiga hema yake mbali penye mwaloni ulioko Saananimu, karibu na Kedeshi.
Leave a Reply