Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia watu weusi
Warumi 2 : 11
11 ③ kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.
Yohana 3 : 16
16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Mithali 3 : 5
5 ③ Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
Leave a Reply