Hizi ndizo Aya za Biblia zinazozungumzia wabadilisha fedha
Marko 10 : 25
25 Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.
Mathayo 21 : 12
12 ⑫ Yesu akaingia ndani ya hekalu, akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, akazipindua meza za wabadili fedha, na viti vyao waliokuwa wakiuza njiwa;
Leave a Reply